TooWordoid

Uwe one GB, obese ama six pack
Iwe unaishi single, double, bedsitter ama ata two bedroom
Iwe kwa slum, street, estate ama mushatha
Uwe white, brown ama black
Christian, Hindu, Buddhist, Islam ama atheist
Sonko ama tajiri
Straight, gay ama lesbian
Blind, lame ama dumb
Mwanaume ama madam
Sote tuna siku yetu ya kufa
Futi sita ni lazima
Ata kama una date
Tukikueka chini, 365 days will still make an year
No matter how fly you are
Wewe na pilots lazima mtakua grounded one day
Ata kama ulikuja mapema
Kwa obituary utajipata wakikuita the late
Na hapo kando yake, vacancy ya job ulikua unafanya
So kaa ukijua life si fare, ni safari
Utamu wa see-saw ni kukosa balance
Lakini Utamu wa maisha ni kukufa bila balance

Bila yesu ni kama maskini kuvuta weed
Ndo ajikute kwa HIGH-table
Ni kama boy kuambia dame wana chemistry
Na hajui h20 ni maji
Ni kama ku-turn coin ndo uone mgongo ya moi
Si walisema there is power in knowledge
But how comes una degree na kwako stima hupotea
Huwezi niconvince ati kplc ni monopoly
Yet Christ is the light of the world
Ata kama wewe ni addict wa kukata maji
Yeye ndo maji ya uzima, so heaven plumber hawezi kosa kazi
So kwake yesu nawaambia kujeni kujeni kujeni
Sitambui taste ya amarula
Lakini ikifika kwa mistari si ata mic inajua am-a-ruler
Not that am worth it
But it’s just by grace
That God alinipea pua badala ya stomata
Yani vile me husema vitu zina occupy space na zina weight
So kichwa yangu ina store matter
Yani vile yeye huniambia you are ever welcome no matter
What you did
Ju kuna this one lover mwenye hakunikatia
Alinipea the whole potion
Akahang kwa cross ndo sins zangu kwa records ziwe crossed
Breakfast in bed, kwa binadamu that’s romantic
But every morning, He breathes life into me, I call that romantic
Safaricom wakiniamsha na text ya “Dear customer we are unable to process”
Mathew 7:7 huniambia ask, seek and knock because God is able

I believe in life after death
So ambia Intel YOLO
I just can’t live once
Ata candy crush ina five lives
Lakini singoji 24 hours ndo niingie the next quest
Nangoja Christ mwenye anajua whats best
For me
Akiwa in-CHARGE sitawai kua battery low
Ju mimi na yeye tuko connected Zaidi ya
Hustler na night bundles
Mkale na medals
Germs na Dettol
So Kwa phonebook ya binadamu unaweza nikosa
But niamini nikikuambia I am saved
Judgement day, God hatahitaji change ya mia moja
So usiishi maisha finje-finje
Every knee shall bow, ata vegetarian wata ad-meat
That Christ is the answer
Fundi wa viatu na Jesus wana something in common
They all are after our torn souls
Only difference ni that Jesus is after your inner soul
Same way hujawai ona Kenyatta amevaa t-shirt kwa noti ya thao Ju ni weekend
Ni the same way Christ ako serious about saving you, it doesn’t matter the day

Upende usipende, one day
Ata uwe plumber, heart itawacha kupumb
Ata uwe producer, heart itawacha kubeat
Ata uwe HOT, body yako itakua COLD
So choose how you want your story told
Sote tumeumbwa kwa udongo
And next time someone is mad at you
Wakumbushe we are all made of mud

#Toowordoid

Sent from my Sony Xperia™ smartphone

A poem by a friend of mine called Japheth, awesome and relatable…. all credit to him

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s